Heri Nibaki Single (Swahili version)

Naona Beb Heri nibaki single Juu staki kumingle.. Heri nibaki single ile sura yangu isikawe na wrinkles.. Heri nibaki single ile my eyes zisijawe na tears si za teargas Bali za kukuwa heart broken... Heri nibaki single ile ni avoid kukuwa Na stress juu for so long nimechoka ku-express my love to somebody ambae ananiona Kama Mimi ni nobody.... Heri nikuwe single Juu back then kwa Hii life tulikuwa watu two but sai checki niko solo tu. Haja gani kujifanya Tuko on the same page Kumbe aim yako ni kurevenge out of rage.. Ndo nasema Heri nibaki single Ndo cheeks zangu zikuwe na dimples juu ya kusmile... But At least Bado utakuwa Na space in my heart hata Kama ulinihurt Na uka depart with my feelings ambazo haziwezi kurudishwa with any amount of shillings... Mdomo wangu hutajawa Na disses despite the fact that uli break my heart into pieces Bali ntakushow peace nikitry kuheal Uko nikijaribu kurudisha zangu feelings huku nikizidi kubaki single. #ApieceOfMindArt... ...