Step Out.


          
For so long tumekuwa tukished tears of both pain and of fear.
For so long tumekuwa tukifight for what is right by God's might..
For so long tumekuwa engulfed in the darkness...
Hadi hatuna voice..
Juu tuko speechless talkless hadi kwa society..
Wamekuwa wakitu judge en yet kwa  life yetu hawana content..
Hadi tuki stand tall tuna fall..
Juu tumekaziwa life kisimiti..
Heri hata yule mfungwa wa kamiti...
Tumekuwa pinned kwa ground..
Painful as it sounds..
As if tuko Betrayed kwa society..
As if wametake advantage ya yetu loyalty...
Wamechukua advantage juu wanadhani hatuna ile courage...
Ya ku STEP OUT.. juu wanadhani hatuwezi ji manage..
Ni kaa wamesahau ile methali ya
"usione simba kanyeshewa ukadhani ni paka "
Pia haraka Haraka haina baraka..
En God's time is the best so Hatuna haraka..
Na kuteleza si kuanguka..
That's why tunainuka.
Na ku STEP out from that life ambayo inafanya sir God ashed tears..
Of both pain and of fear..
Juu tayari ashahofia..
Duniani tunapotea njia..
En from Him tunadrift away..
But does he say...
Ku STEP OUT from that life ambaya inatufanya tukuwe bad example..
Kwani kwa any immorality tunakuwa sample..
Hadi tunasahau our body is God's temple.
Hadi sometimes ni God ndiye tunamblame..
Which turns out to be lame..
Juu willingly tulijoin the game..
Juu ya fame...
But still tuko the same..
Hakuna kitu imechange..
Ni kaa sir God anatu punish..
Ama ni life ina revange...
Na STEP OUT kwa ile life inafanya tu argue na Mungu..
Juu cha mkufu mwanafu aki hu..
Na Cha mwanafu mkufu aki ha..
Na STEP OUT..
from that life ambayo niko locked up in chains..
Chains full of pain..
Pain that makes me shed tears ka design ya rain..
Chains full of pain which has no gain..
Na hivyo ndivyo nimestep STEP OUT..

@TheLuoPoet.

Comments

Unknown said…
Good job bro. We wil continue to support you bro. Great job. Continue inspiring people

Popular posts from this blog

Dear Dad & Mum

"Dance With Me"

Infatuation.