Paukwa Pakawa

Paukwa Pakawa 
Maisha yetu na yao imekuwa kama mchezo wa paka na panya.. 
Fanya,nifanye..
Nipe nikupe, kati yetu na wao kina nani ndo kupe?.. 
Wanacheza na mind zetu kama game ya chess.. 
Wanakeep clean sheet hadi tuwaingize kwa hiyo chama.. 
Then check mate!!... Ndo tunarealize tumemess. 
Chama moto ni "Kuiba ni na kwa bidii"..
Aftermath ni kupiga nduru, si za kuaminika bali za kulalamika.. 
Wanatugeuzia mgongo.. 
Tanatazama tu zao kizogo.. 
Kumbe ahadi zao zilikuwa za uongo...
It's like tulikuwa on the same page but from different books.. 
Ahadi ni deni,please lipeni...
Coz mmetukamua hadi tumebaki bila any..
Hatuna mapeni..
Hadi saa namuona mtu alikupigia kura ka enemy..
Corruption imejaa kwa Hii nation.. 
Hadi statue ya Mzee Jomo Kenyatta pale KICC imekaa ikishika tama. 
Ikitazama, vile jina ya nchi inazama...
Vile life ya common mwanainchi imezorota 
Hadi mifuko imechoka tu kusoto.. 
Time imefika..
Revolution ndo tunaitisha.. 
En so umoja ni nguvu..
Further wacha kushikilia ukabila.. 
Au kwenu ni mila?..
Ama unataka hii nchi ibaki bila?...
Words without action is dead. 
Besides,nchi bila mwelekeo ni pointless kama boobs bila nipples. 

#ApieceOfMindArt 
ApieceOfMindArt.blogspot 
@TheLuoPoet 


Comments

Popular posts from this blog

Dear Dad & Mum

"Dance With Me"

Infatuation.